Mafuta haya ni mahususi kwa ajili ya kutoa sugu za vidole vya miguu na mikono pamoja na magotini. Kama unashida na sugu ambazo zinakunyima uhuru basi karibu ofisini kwetu tukupe dawa yake au agiza uletewe pale ulipo.